Am 8weeks pregnant. I went to the doctor to do ascan there was no heart beat . I told the doctor to give me time to pray to my God I believe the heart beat will be back. My next appointment is on 25th please pray for me and my baby God to restore her life back in Jesus’s name i pray and believe 🙏🏿
Bwana yesu asifiwe mchungaj, Kwa majina naitwa Asia Thobias nipo Tanzania, Ninaomba msaada wa maombi yakufunguliwa Kwa family yangu , baba angu yupo kitandan hajiwez anaumwa hiki mara hiki saivi hadi hospitalini hakuna dawa inayomsaidia tumbo limevimba hadi kula chakula,, Nina mrefu nataza...
nipo Tanzania,naitwa sarah naomba kuombewa nasumbuliwa na sana tumbo kwenye kizazi kwa muda mrefu sasa kila nikienda hospitali kuna tatizo jipya,pia kwenye mahusiano yangu familia ya mwenzangu wanapinga mahusiano yetu ninaomba Mungu anikumbuke,pia nakmba dada nagu Mungu ampatie ndoa ..Amen
Pray the lord Jeses mimi ni Mary Josephat Mlay na mume wangu ni Charles Kombautoka Dar es salaam tumetoa sacrifice ya namba 5 tarehe 25.7. 2022 tunaomba Mungu atujalie watoto tuko na ndoa ya miaka 15, nimeambiwa na dar. mayai yangu hayakomai ila tunamwamini Mungu tabu yetu imekoma. Tutapokea...
PRAISE THE LORD Pastor My name is Bianca from Tanzania am 22 years old am studying at mid university To start of I think my life is not as supposed to be because I’m lack of a lot of things which is I have several diseases since young like eyes diseases regularly coughs and running noses and am...
Bwana Yesu asifiwe:- Mimi naitwa Mchungaji Joshua kutoka Tanzania, nilikuwa Naomba Mungu anifungulie milango yangu Baraka kwenye huduma yangu na kazi ambayo haitazuia kazi ya Mungu iendelee
Lord Jesus intervene in my interview on 20 July 2022, whatever x let it be a pass or LORD. It's your desire I succeed LORD. I am asking for break through LORD Jesus.