Topic Automatically Translated From Swahili Language:
Lord Jesus be praised pastor, I'm in Tanzania, my name is Anna, please pray for my bad dreams to end for me, for my child, and for my husband, also the spirit of divorce and the spirit of poverty
Source Text:
Bwana Yesu asifiwe mchungaji, Niko Tanzania naitwa Anna naomba uniombee ndoto mbaya ziishe kwangu,kwa mtoto wangu,na kwa mume wangu,pia roho ya talaka itoke na roho ya umaskini