Topic Automatically Translated From Swahili Language:
I'm in Tanzania, my name is Sarah, I'm asking for prayers, I'm suffering from a stomach ache in my cervix for a long time now, every time I go to the hospital there's a new problem, also in my relationship, my partner's family opposes our relationship, I'm asking God to remember me, I also pray for my sister, God grant her marriage..Amen
Source Text:
nipo Tanzania,naitwa sarah naomba kuombewa nasumbuliwa na sana tumbo kwenye kizazi kwa muda mrefu sasa kila nikienda hospitali kuna tatizo jipya,pia kwenye mahusiano yangu familia ya mwenzangu wanapinga mahusiano yetu ninaomba Mungu anikumbuke,pia nakmba dada nagu Mungu ampatie ndoa ..Amen