Bashgaaj
Disciple of Prayer
Mimi naitwa Ruth,,katika masomo yangu ya msingi na sekondari nilikuwa naongoza ..I was always taking the top position lakini sijui nyota iliibiwa wapi,,nlilipomaliza kidato cha nne nilihitimu na gredi ya c+..nilitaka kusomea uuguzi lakini pesa ikakosekana..kwa ndoa niliolewa kisha tukaachana 2019 xaxa nalea watoto peke yangu.