Brentarmas
Disciple of Prayer
Hi Pastor,Iam Justus Kimeli from Meru.Please pray for me nimekuwa nikiteseka Sana.Kutoka nizaliwe sijawahi kufurahia maisha hata kidogo.Roho za umaskini zimekuwa zikitufuata Kama familia Kila tunachofanya hatufanikiwi.Nikifanya kazi pesa hayawezi kunisaidia pia kupata hiyo kazi ni ngumu.Magonjwa na roho za kutoelewana pia yamekuwa matatizo kwetu.Nina ndugu ambaye anafaa kujoin F1 lakini hadi Sasa hajaweza kuenda shule na dada pia anafaa kuingia junior secondary lakini hakuna pesa.Tafadhali tuvunjie madhabau haya ili tuweze kufanikiwa.Napanga kuja NEWLIFE CHURCH pliz niombee ninapojitayarisha.ASANTE.