Fuchlon
Disciple of Prayer
Bwana yesu asifiwe mchungaj, Kwa majina naitwa Asia Thobias nipo Tanzania, Ninaomba msaada wa maombi yakufunguliwa Kwa family yangu , baba angu yupo kitandan hajiwez anaumwa hiki mara hiki saivi hadi hospitalini hakuna dawa inayomsaidia tumbo limevimba hadi kula chakula,, Nina mrefu nataza kipindi Cha mahubiri yako ninayoiman kuwa hata baba angu aweza kupona kabisa